1 x TSH.5000
1 x TSH.5000
Utamaduni wa wenyeji wa Tanga, binti lazima ajishughulishe kutunza nyumba, sasa katika nyumba hiyo hali ilikuwa tofauti; kila kitu hufanywa na wafanyakazi walioajiriwa na familia hiyo.
Katika makazi mapya ya Teresa kulikuwa hakuna shughuli ya kufagia uwanja, kudeki nyumba hata usafi wa chumba chake ulifanywa na mfanyakazi wa kike wa ndani.
Fatilia kitabu hiki ili kuweza kujua ni nini kilitokea kwa Teresa...
Posted on 12/9/16
You have no items to compare.
You have no items in your wish list.