1 x TSH.5000
1 x TSH.5000
Hamisa alikuwa ameshaokota mkoba wake kutoka mezani na kuelekea msalani. Alipotoka msalani alibadilika, hakuna aliyemfikiria kuwa ndiye aliyeachwa mezani akitangaziwa upendo kwa mwanamke mwingine.
Watu walizungumza hili na lile na baada ya muda mfupi kupita, waliachana na mada hiyo na kuendelea kupata vinywaji na chakula kitamu kinachoandaliwa vizuri na wapishi maridadi wa hapo.
Fatilia zaidi kitabu hiki ili kuweza kujua ni nini kiliendelea...
Posted on 12/9/16
You have no items to compare.
You have no items in your wish list.