man

Posted by: Admin

2022-02-10
blog

Safari Ya Mikumi

Hadithi hii inaihusu familia moja ya Bwana Ben Mkazi wa Jijini Dar-es-salaam, aliyeamua kufanya utalii wa ndani kwa kuipeleka familia hiyo kutembelea Mbuga ya wanyama ya Mikumi.

Mara alitokea mwanawe mkubwa jina lake Joseph akiwa amebeba mfuko halafu nyuma yake alifuata Jane ambaye nae alibeba mfuko na doli lenye kumzidi umbo. Walivaa nguo nzuri za kupendeza.

Baada ya kupakia mizigo yote, na wao wenyewe walipanda garini haraka, dakika kadhaa zilipita kabla ya mama na mtoto mchanga mwenye umri wa mwaka mmoja kufika kwenye gari.

Fatilia zaidi hadithi hii nzuri ili kuweza kujua ni nini kilichotokea.