Kidani - Azam TV
Usikose kutazama kipindi cha Kidani kinacholetwa na television yako pendwa ya Azam TV. Kila siku ya Ijumaa Saa 03:00 usiku.
Browse the collection of our latest books and stories.
Usikose kutazama kipindi cha Kidani kinacholetwa na television yako pendwa ya Azam TV. Kila siku ya Ijumaa Saa 03:00 usiku.
Tukiwa tunaelekea siku ya Kiswahili duniani, tumeandaa shindano la uandishi wa hadithi fupi kwa Wanafunzi wa Shule za Sekondary.
Katika kuenzi na kuendeleza lugha ya Kiswahili, tumeshirikisha Wanafunzi wa ngazi ya Shule za Sekondari kufanyia kazi mada walizosoma.
Hadithi hii inaihusu familia ya Bwana Ben, aliyeamua kufanya utalii wa ndani kwa kuipeleka familia hiyo kutembelea Mbuga ya wanyama.