Usikose kutazama kipindi cha Kidani kinacholetwa na television yako pendwa ya Azam TV.
Usikose kutazama kipindi cha Kidani kinacholetwa na television yako pendwa ya Azam TV.
Hadithi hii inaihusu familia moja ya Bwana Ben Mkazi wa Jijini Dar-es-salaam, aliyeamua kufanya utalii wa ndani kwa kuipeleka familia hiyo kutembelea Mbuga ya wanyama ya Mikumi.
Tukiwa tunaelekea siku ya Kiswahili duniani, Mwanawetu Books and Consultancy imeandaa shindano la uandishi wa hadithi fupi kwa Wanafunzi wa Shule za Sekondari.
Usimuache Atoke (Don't Let Him Go Out), ni tamthiliya inayohusu mahusiano, mapenzi, usaliti, furaha, na visa katika jamii, iliyotungwa na mwandishi mahiri wa vitabu Mwanawetu Mmuni.
Lengo kuu la maktaba hii ya Mwanawetu Books ni kuenzi na kuiendeleza lugha ya Kiswahili, katika kutimiza lengo hili, MBC imeshirikisha Wanafunzi wa ngazi ya Shule za Sekondari kufanyia kazi mada walizosoma wakiwa shuleni.