UN SDG Book Club Africa
Mwanawetu's book 'Ken Na Kandi' is included in the Kiswahili Reading List for SDG 4: Quality Education. Tanzanian great author Mwanawetu Mmuni.
Browse the collection of our latest books and stories.
Mwanawetu's book 'Ken Na Kandi' is included in the Kiswahili Reading List for SDG 4: Quality Education. Tanzanian great author Mwanawetu Mmuni.
Tukiwa tunaelekea siku ya Kiswahili duniani, tumeandaa shindano la uandishi wa hadithi fupi kwa Wanafunzi wa Shule za Sekondary.
Katika kuenzi na kuendeleza lugha ya Kiswahili, tumeshirikisha Wanafunzi wa ngazi ya Shule za Sekondari kufanyia kazi mada walizosoma.
Hadithi hii inaihusu familia ya Bwana Ben, aliyeamua kufanya utalii wa ndani kwa kuipeleka familia hiyo kutembelea Mbuga ya wanyama.