06 Nov
2021Wawindaji wanne waliokuwa wanashirikiana kufanya kazi na kila walichokipata waligawana sawasawa.
Walitumia vifaa vya asili kuwinda wanyama na walifanikiwa kwa kuwa waliishi katika kijiji kilichopo pembezoni mwa msitu mnene wenye kusheheni miti mirefu na wanyama mbalimbali.
Hadithi hii inaelezea tatizo la wananchi kujichukulia sheria mkononi na kuwahukumu raia wenzao wakiamini ni wakosaji; na kusababisha kuwadhuru watu wasio na hatia. Toa taarifa za matukio mabaya sehemu husika na kuviachia vyombo vya usalama ili kujiridhisha na kumbaini mharifu halisi.
Ilifikia hadi baadhi ya wawindaji hao kuwa kero wanapofanya usumbufu kwa wakulima pindi wanaposhambulia na kuharibifu mazao yao.
NOVEMBER 06, 2021
Very interesting story, thanks to the author of "Usimwache Atoke"
ReplyNOVEMBER 06, 2021
We need more of these stories for learning in a day to day life
ReplyNOVEMBER 06, 2021
More book stories to come and we are working on bringing more to our audience for further learning and self development
ReplyCopyrights © 2022-mwanawetubooks.co.tz - All Rights Reserved
Write Your Review