06 Nov
2021Ndani ya msitu huo kuna maajabu mbalimbali ikiwemo binadamu kuheshimu wanyama pori kama vile Simba na Kiboko katika ulinzi wa maisha yao ya kila siku. Simba huyo wanamwita Nakanji, na Kiboko nae anajulikana kwa jina la Kimombo.
Tamthiliya hii inahusu utamaduni wa jamii ya watu wanaoishi katika msitu wa Mtonyange ambao ni miongoni mwa hifadhi ndogo za pori tengefu la Selous Mkoani Lindi.
Je, simba ataweza kulinda binadamu?.
NOVEMBER 06, 2021
Very interesting story, thanks to the author of "Usimwache Atoke"
ReplyNOVEMBER 06, 2021
We need more of these stories for learning in a day to day life
ReplyNOVEMBER 06, 2021
More book stories to come and we are working on bringing more to our audience for further learning and self development
ReplyCopyrights © 2022-mwanawetubooks.co.tz - All Rights Reserved
Write Your Review