06 Nov
2021Ben alikuwa nje ya nyumba anapakia mizigo mbalimbali kwenye gari yake kibanda-wazi, anapiga mluzi “swi swi swi”.
Mara alitokea mwanawe mkubwa jina lake Joseph akiwa amebeba mfuko halafu nyuma yake alifuata Jane ambaye nae alibeba mfuko na doli lenye kumzidi umbo. Walivaa nguo nzuri za kupendeza.
Baada ya kupakia mizigo yote, na wao wenyewe walipanda garini haraka, dakika kadhaa zilipita kabla ya mama na mtoto mchanga mwenye umri wa mwaka mmoja kufika kwenye gari..
Hadithi hii inaihusu familia moja ya Bwana Ben Mkazi wa Jijini Dar-es-salaam, aliyeamua kufanya utalii wa ndani kwa kuipeleka familia hiyo kutembelea Mbuga ya wanyama ya Mikumi.
Fatilia zaidi kitabu hiki kuweza kujua nini kilichotokea.
NOVEMBER 06, 2021
Very interesting story, thanks to the author of "Usimuache Atoke"
ReplyNOVEMBER 06, 2021
We need more of these stories for learning in a day to day life
ReplyNOVEMBER 06, 2021
More book stories to come and we are working on bringing more to our audience for further learning and self development
ReplyCopyrights © 2022-mwanawetubooks.co.tz - All Rights Reserved
Write Your Review