06 Nov
2021Hadithi nzuri ya watoto yenye mafunzo inayohusu Shule ya msingi Kichangani iliyopo mkoani Morogoro, iliyokuwa na wanafunzi wenye nidhamu sana. Wanafunzi hao wasingelimwona mgeni au mtu mzima yeyote anapita karibu yao bila ya kumsalimia au kumpokea mzigo alioubeba.
Simulizi za watoto zenye mafunzo, kufurahisha, kuburudisha, na kuelemisha, zinazohusu mazingira, wanyama, miti, na tabia njema katika mazingira ya jamii wanazoishi. Fatilia kitabu hiki kilichoandaliwa na mwandishi mahiri Mwanawetu Mmuni.
Kutoka Mwanawetu Books And Consultancy.
NOVEMBER 06, 2021
Very interesting story, thanks to the author of "Usimwache Atoke"
ReplyNOVEMBER 06, 2021
We need more of these stories for learning in a day to day life
ReplyNOVEMBER 06, 2021
More book stories to come and we are working on bringing more to our audience for further learning and self development
ReplyCopyrights © 2022-mwanawetubooks.co.tz - All Rights Reserved
Write Your Review