Our Blog

01 Feb

2022

Shindano La Uandishi

Tukiwa tunaelekea siku ya Kiswahili duniani, Mwanawetu Books and Consultancy imeandaa shindano la uandishi wa hadithi fupi kwa Wanafunzi wa Shule za Sekondari.

read more

06 Nov

2021

Usimuache Atoke

Usimuache Atoke (Don't Let Him Go Out), ni tamthiliya iliyotungwa na mwandishi mahiri wa vitabu Mwanawetu Mmuni, ni tamthiliya inayohusu mahusiano na mapenzi.

read more

06 Nov

2021

Hasira Hasara

Ni hadithi inayowahusu wawindaji wanne waliokuwa wanashirikiana kufanya kazi kwa vifaa vya asili vya kuwindia wanyama, na kila walichokipata waligawana sawasawa.

read more

06 Nov

2021

Msitu Wa Maajabu

Ndani ya msitu huo kuna maajabu mbalimbali ikiwemo binadamu kuheshimu wanyama pori kama vile Simba na Kiboko katika ulinzi wa maisha yao ya kila siku. Je, simba ataweza kulinda binadamu?

read more

06 Nov

2021

Ken Na Kandi

Tamthiliya hii inahusu changamoto walizopitia watoto wawili Ken mwenye umri wa miaka kumi, na dada yake Kandi mwenye umri wa miaka saba, katika kijiji cha Malendego wilayani Kilwa.

read more

06 Nov

2021

Ukuti Ukuti

Je, unajua chanzo cha mchezo wa Ukuti Ukuti?, Ukuti Ukuti ni hadithi inayoelezea mchezo wa Ukuti Ukuti iliyoandaliwa na mwandishi mahiri wa vitabu Mwanawetu Mmuni.

read more

stay up-to-dated

Copyrights © 2022-mwanawetubooks.co.tz - All Rights Reserved