Ijumaa
9:00PmUsikose kutazama kipindi cha Kidani kinacholetwa na television yako pendwa ya Azam TV.
Muda: Kila siku ya Ijumaa Saa 03:00 kamili usiku.
Kipindi kinahusu shughuli za wanawake na wasichana, na mapambano yao katika kutafuta maendeleo, wageni waalikwa katika kipindi hiki wanazungumzia uandishi wa vitabu nchini na changamoto wanazokutana nazo waandishi wa vitabu wa kike.
Sauda Swalehe kutoka Azam TV
Mwanawetu Mmuni, na waandisi mbalimbali wa vitabu na habari wa kike.
Mwanawetu Mmuni:
Nilialikwa kwa sababu nimekuwa kiongozi wa kwanza mwanamke wa Umoja Wa Waandishi Wa Vitabu Tanzania (Tanzania Writers Association), tangu umoja huo ulipoanzishwa mwaka 1979.
Kwa mawasiliano zaidi, wasiliana nasi kupitia;
Namba ya simu ya mkononi: +255 737 966996
Barua pepe: info@mwanawetubooks.co.tz
NOVEMBER 06, 2021
Very interesting story, thanks to the author of "Usimuache Atoke"
ReplyNOVEMBER 06, 2021
We need more of these stories for learning in a day to day life
ReplyNOVEMBER 06, 2021
More book stories to come and we are working on bringing more to our audience for further learning and self development
ReplyCopyrights © 2022-mwanawetubooks.co.tz - All Rights Reserved
Write Your Review