06 Nov
2021Usimuache Atoke (Don't Let Him Go Out), ni tamthiliya iliyotungwa na mwandishi mahiri wa vitabu Mwanawetu Mmuni.
USIMUACHE ATOKE, inaelezea maisha ya wanawake wengi wa kipato cha kati ambao wengi hufanya kazi zaidi za kiuchumi na kusahau jukumu la kutunza familia. Pata mtiririko wa visa vya wana jamii kama, ushirikiano, mahusiano, maelewano, biashara na maisha ya kila siku.
Ni tamthiliya inayohusu mahusiano na mapenzi, kutoka Mwanawetu Books And Consultancy.
NOVEMBER 06, 2021
Very interesting story, thanks to the author of "Usimuache Atoke"
ReplyNOVEMBER 06, 2021
We need more of these stories for learning in a day to day life
ReplyNOVEMBER 06, 2021
More book stories to come and we are working on bringing more to our audience for further learning and self development
ReplyCopyrights © 2022-mwanawetubooks.co.tz - All Rights Reserved
Write Your Review