man

Posted by: Admin

2022-02-10
blog

Kidani - Azam TV Program

Usikose kutazama kipindi cha Kidani kinacholetwa na television yako pendwa ya Azam TV.

Muda: Kila siku ya Ijumaa Saa 03:00 kamili usiku.

1. Mada
Kipindi kinahusu shughuli za wanawake na wasichana, na mapambano yao katika kutafuta maendeleo, wageni waalikwa katika kipindi hiki wanazungumzia uandishi wa vitabu nchini na changamoto wanazokutana nazo waandishi wa vitabu wa kike.

2. Mtangazaji wa kipindi
Sauda Swalehe kutoka Azam TV.

3. Wageni waalikwa wa kipindi
Mwanawetu Mmuni, na waandisi mbalimbali wa vitabu na habari wa kike.

Mwanawetu Mmuni: "Nilialikwa kwa sababu nimekuwa kiongozi wa kwanza mwanamke wa Umoja Wa Waandishi Wa Vitabu Tanzania (Tanzania Writers Association), tangu umoja huo ulipoanzishwa mwaka 1979"

Kwa mawasiliano zaidi, wasiliana nasi kupitia;

Namba ya simu ya mkononi: +255 737 966996
Barua pepe: info@mwanawetubooks.co.tz