Hadithi ya watoto inayohusu Shule ya msingi Kichangani iliyopo mkoani Morogoro, nchini Tanzania, iliyokuwa na wanafunzi wenye nidhamu ya mfano wa kuigwa na wengine kwenye jamii.
read moreHadithi hii inaihusu familia moja ya Bwana Ben Mkazi wa Jijini Dar-es-salaam, aliyeamua kufanya utalii wa ndani kwa kuipeleka familia hiyo kutembelea Mbuga ya wanyama ya Mikumi.
read moreTamthilia hii inawahusu wanandoa wawili; Jesca na Kelvin, wanaoishi Mbezi Beach kwenye nyumba yao ya kifahari, ambao katika miaka kumi ya ndoa yao; wamebahatika kupata mtoto mmoja.
read moreTamthiliya hii inahusu changamoto walizopitia watoto wawili Ken mwenye umri wa miaka kumi, na dada yake Kandi mwenye umri wa miaka saba, katika kijiji cha Malendego wilayani Kilwa.
read moreJe, unajua chanzo cha mchezo wa Ukuti Ukuti?, Ukuti Ukuti ni hadithi inayoelezea mchezo wa Ukuti Ukuti iliyoandaliwa na mwandishi mahiri wa vitabu Mwanawetu Mmuni.
read moreHadithi ya watoto inayohusu Shule ya msingi Kichangani iliyopo mkoani Morogoro, nchini Tanzania, iliyokuwa na wanafunzi wenye nidhamu ya mfano wa kuigwa na wengine kwenye jamii.
read moreCopyrights © 2022-mwanawetubooks.co.tz - All Rights Reserved