06 Nov
2021Shida yao kubwa ilikuwa kuishi mbali na kijiji ambacho huduma za kijamii ikiwemo shule na zahanati zinapatikana.
Hivyo watoto hao walitumia muda mwingi kutembea umbali mrefu kwenda na kurudi shuleni.
Tamthiliya hii inahusu changamoto walizopitia watoto wawili Ken mwenye umri wa miaka kumi na dada yake Kandi mwenye umri wa miaka saba.
Waliishi katika misitu ya Ukanda wa Kitropiki, pwani ya Bahari ya Hindi jirani na kijiji cha Malendego wilayani Kilwa.
NOVEMBER 06, 2021
Very interesting story, thanks to the author of "Usimwache Atoke"
ReplyNOVEMBER 06, 2021
We need more of these stories for learning in a day to day life
ReplyNOVEMBER 06, 2021
More book stories to come and we are working on bringing more to our audience for further learning and self development
ReplyCopyrights © 2022-mwanawetubooks.co.tz - All Rights Reserved
Write Your Review