06 Nov
2021Tamthilia hii inawahusu wanandoa wawili; Jesca na Kelvin, wanaoishi Mbezi Beach kwenye nyumba yao ya kifahari.
Katika miaka kumi ya ndoa yao; wamebahatika kupata mtoto mmoja.
Jesca alitambulisha kazi yake ni Meneja masoko katika kampuni binafsi jijini Dar-es-salaam, wakati Kelvin ni Mfanyabiashara wa magari, vipuri vya magari, na vifaa vya umeme kutoka nchi za nje hasa China na Japan.
Ingawa walikuwa wanafanyakazi hizo zinazotambulika, lakini kila mmoja alikuwa na kazi nyingine ya siri, fatilia kitabu hiki kuweza kujua zaidi.
NOVEMBER 06, 2021
Very interesting story, thanks to the author of "Usimwache Atoke"
ReplyNOVEMBER 06, 2021
We need more of these stories for learning in a day to day life
ReplyNOVEMBER 06, 2021
More book stories to come and we are working on bringing more to our audience for further learning and self development
ReplyCopyrights © 2022-mwanawetubooks.co.tz - All Rights Reserved
Write Your Review